HIVI NDIVYO SIMBA ILIVYOITOA 'SHOO' MBEYA CITY KWAO NA KUICHAPA MABAO 2-0 Kweli Simba sasa haitaki mchezo, imeitwanga Mbeya City kwa mabao 2-0, kwao Sokoine mjini Mbeya. Angalia picha za action, Simba ilivyoshinda mechi hiyo na kuzidi kujichimbia kileleni.
0 COMMENTS:
Post a Comment