October 1, 2016

2 COMMENTS:

 1. Mbona hukuweka picha inayomuonesha "mcheza netball" wa yanga Amis Tambwe akiukumbatia mpira kabla ya kufunga goli? Vipi na ile picha ya goli la Ajib lililokataliwa kwa kisingizio ni offside wakati Ajib alikuwa sehemu sahihi kabisa?

  Hawa ndiyo wanaojiita "KIMA WATAIFA",bila mbeleko ya TFF hawawezi kufanya lolote,hongereni kima wataifa.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kuwa na heshima wewe kwasababu umri wako ni mdogo hukuwahi kumuona Madaraka Suleiman aliposawazisha goli la Simba dhidi ya Yanga mwaka 1994 kwa mkono na kusababisha Tarimba kufungiwa na FAT!Huo ndio mpira sasa wewe povu linakutoka kwa lipi,kweli nyie ni wa matopeni!

   Delete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV