December 9, 2016



KRC Genk imeichapa Sassuolo ya Italia kwa mabao 2-0 na kufanikiwa kusonga hatua ya 32 bora ya Kombe la Europa.

Kusonga kwa Genk anayoichezea Mtanzania Mbwana Samatta, maana yake kuna uwezekano wa kikosi chake kukutana na Man United inayofundishwa na Jose Mourinho.


Man United ilifanikiwa kusonga katika hatua hiyo jana baada ya ushindi wa jana wakati Genk walilazimika kusubiri hadi leo baada ya hali ya hewa kusababisha mchezo wao huo wa ugenini kuahirishwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic