January 18, 2017Beki Method MWanjale amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa kikosi cha Simba kwa mwezi Desemba, 2016.

Mwanjale raia wa Zimbabwe ameonyesha ukomavu katika kikosi cha Simba, hasa aina ya uchezaji wake.


Simba imekuwa na kawaida ya kuchagua mchezaji wa mwezi na kumzawadiwa na kweli Mwanjali alistahili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV