February 3, 2017

Cameroon imeifuata Misri kwenye fainali ya Kombe la Mataifa Afrika maarufu kama Afcon.

Kikosi cha Cameroon ambacho kilikuwa hakipewi nafasi kubwa, kimeitwanga Ghana kwa mabao 2-0 katika mechi ya pili ya nusu fainali.

Ilikuwa mechi ngumu tokea mwanzo na mapumziko ilikuwa ni sare ya bila kufungana.

Ngadeu Ngadjui aliiifungia Ghana bao katika dakika ya 72 baada ya uzembe wa mabeki wa Ghana lakini wakati inaonekana kama Ghana watasawazisha, Cameroon wakamaliza kazi kupitia kwa Christian Bassogog..

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic