March 22, 2017


Pamoja na kwamba kipindi hiki mambo yake hayaendi vizuri, bondia Amir Khan wa Uingereza ameendelea kuonyesha mtandaoni sehemu ya utajiri wake.

Khan ametupia mtandaoni nyumba yake ya kifahari huko San Francisco nchini Marekani.

Akiwa mbele ya nyumba hiyo, Khan yuko katikati ya magari ta kifahari, Ferrari na Rolls-Royce.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV