March 21, 2017


Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa Ureno.

Ronaldo ameshinda tuzo hiyo jana akimpiga bao beki wa Madrid, Pepe.

Pamoja na Pepe mwingine aliyekuwa akiwania tuzo hiyo katika tamasha la Gala Quinas de Ouro ni kipa Rui Patricio wa Sporting Lisbon.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV