March 30, 2017


Kocha Arsene Wenger ameauambia uongozi wa Arsenal kwamba anataka kuendelea kubaki Emirates kwa miaka miwili.

Katika mkutano pamoja na uongozi wiki iliyopita, Wenger ameweka wazi yake ya moyoni kuwa angependa kubaki kwa miaka miwili zaidi ili afanye mabadilike.

Kwa mujibu vya vyanzo, kwamba Wenger ameona makosa yalipo na anataka kubadilisha ndiyo maana anaomba miaka hiyo miwili ingawa haijaelezwa kuwa baada ya hapo ataondoka au ataendelea kubaki.

Hata hivyo, Wenger anaweza kuwa na wakati mzuri wa kupata mkataba mpya kama Arsenal itaitwanga Man City wikiendi hii.


Kama atafungwa atakuwa ameingia kwenye hofu mpya na huenda uongozi wa Arsenal unaweza kuamua tofauti.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic