April 6, 2017Azam TV itaendelea kukuletea uhondo pale itakapoonyesha mubasharaa a mechi za La Liga kwa Sporting Gijon ikiwaribisha Malaga na Derpotivo La Coruna watakuwa nyumbani kupepetana na Granada.

Mechi hizo mbili zitaonyeshwa moja kwa moja kupitia Azam Sports HD, yenye muonekano bora kabisa.

Azam Sports HD, jana ilitoa burudani nyingine Mubarashaaa wakati Barcelona walishinda mabao 3-0 dhidi ya Sevilla na Madrid wakaingushia kipigo Leganes kipigo cha mabao 4-2.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV