April 21, 2017Wakati Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limemfungulia mashtaka ya kinidhamu Msemaji wa Simba, Haji Manara kwenye Kamati ya Maadili. Mwenyewe ametaka mahojiano yake na kamati hiyo yarushwe LIVE.


Manara ameandika mtandaoni kwamba angependa mahojiano hayo kurushwa mubasharaa ili watu wajionee.

Kwa mujibu wa alichoandika mtandaoni, inaonekana Manara hana imani na kamati hiyo pamoja na TFF iliyomfungulia mashitaka.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV