April 15, 2017


Mashabiki wa Simba wamejitokeza kwa wingi katika mitaa ya jiji la Mwanza ili kupata tiketi kwa ajili ya kwenda Uwanja wa CCM Kirumba.

Simba inawavaa wenyeji wao Toto African kwenye uwanja huo eneo la Kirumba na wenyeji wanajivunia rekodi ya kutofungwa na Simba, miaka saba iliyopita.


Mashabiki hao wanaonyesha kuhamasishwa na Simba kuishinda Mbao FC kwa mabao 3-2 katika mechi iliyopita.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV