Sasa ni uhakika, Neymar haitaichezea Barcelona katika mechi ya El Clasico wakati Barcelona itaivaa Real Madrid Aprrili 23 mjini Madrid.
Neymar amefungiwa mechi tatu baada ya kumsemea “mbofumbofu” mwamuzi wa akiba katika mechi dhidi ya Malaga ambayo Barcelona walitwangwa kwa mabao 2-0.
MECHI ANATAZOKOSA:
Itakuwa Barcelona VS
Real Madrid
Real Sociedad
Osasuna
0 COMMENTS:
Post a Comment