April 29, 2017


Pambano la ngumi za kulipwa kati ya Anthony Joshua dhidi ya Wladimir Klitschko tayari liko LIVE kupitia TV1.

Kwa sasa yameanza kuonyesha mapambano ya utangulizi.

Pambano kati ya Joshua wa Uingereza na Klitshcko raia wa Ukraine kuwania mikanda ya IBF na WBA, limekuwa likisubiriwa kwa hamu.

Mashabiki wengi wa ngumi wamepiga simu SALEHJEMBE wakiuliza kama kweli linaonyeshwa LIVE.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV