April 9, 2017UCHAGUZI KLABU YA LIPULI

Kwa muda mrefu, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefuatilia kwa kina mgogoro wa kiuongozi ndani ya klabu ya Lipuli FC ya Iringa.

Baada ya uchunguzi wake, TFF imetoa maagizo manne yafanyike mara moja.
1.Klabu ya Lipuli ifanye uchaguzi mkuu wa kupata viongozi wake.
2.Kamati ya uchaguzi ya TFF itasimamia mchakato mzima wa uchaguzi huu.
3.Uchaguzi huu utafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Lipuli FC uliofanyika tarehe 22 Juni 2014.

4.Kamati ya uchaguzi ya TFF itahakiki na kutoa orodha ya wapiga kura

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV