May 29, 2017



Mshambuliaji nyota wa Yanga, Amissi Tambwe amesema ligi kuu msimu uliomalizika, ilikuwa ngumu kuliko zote alizowahi kushiriki.

Tambwe amesema kuwa vizuri kwa Simba na timu nyingine zaidi ya tano, kulifanya ligi kubwa ngumu sana.

“Wala usishangae kuona bingwa amefanana pointi na mshindi wa pili. Ligi ilikuwa ngumu sana.

“Simba walikuwa wazuri safari hii, hiyo pia iliongeza sana ushindani,” alisema.


Yanga imebeba ubingwa ikiwa na pointi 68 sawa na Simba lakini ikawa na ubora katika mabao ya kufunga na kufungwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic