June 19, 2017Hatimaye Ally Mayay Tembele amechukua fomu ya kuwania Urais wa TFF.

Mayai sasa atachuana na Jamal Malinzi ambaye anashikilia nafasi hiyo.

Lakini wako Athumani Nyamlani, Omar Madega na Wallace Karia ambao atalazimika kufanya kazi ya ziada kuwazidi.
Mayai ambaye amewahi kuwa nahodha wa Yanga alisindikizwa na wachezaji mbalimbali wa zamani wakiongozwa na Athumani Tippo, Jamhuri Kihwelo 'Julio'.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV