June 19, 2017


Beki wa kushoto wa Simba, Mohamed Zimbwe maarufu kama Tshabalala ameendelea kula shavu baada ya kampuni ya kuuza mafuta ya Big Bon kumpa ofa ya kumjazia gari lake mafura “full tank”.


Kama haitoshi kampuni hiyo imetoa kitita cha Sh 500,000 kwa beki huyo ambaye ndiye mchezaji bora wa msimu wa Simba, pia mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV