June 25, 2017
Mwenyekiti wa Usajili wa Simba, Zacharia Hans Poppe ameibuka na kusema watani wao wa jadi, Yanga salio lao la usajili limekata.

Hans Poppe amesema Simba wamekuwa ni wanaotafuta fedha zao kwa kujichangisha ikiwa ni pamoja na kupangisha maduka au flemu zao pale makao makuu ya Msimbazi.

"Sasa wenzetu walikuwa wanategemea mtu mmoja tu, fedha zinatoka tu na wenyewe wamekaa wanafurahia tu, sasa salio limekata ndiyo maana unaona wana shida," alisema.

Simba imekuwa ikiendelea kufanya usajili huku mambo yakisuasua upande wa Yanga.4 COMMENTS:

  1. Huyu mayor Jacob ni mshamba sana sasa kumtunukia wanyama mtaa ni kwa ushujaa gani aliouonyesha kwa taifa au duniani mpaka apewe jina la mtaa.basi wako wengine waliolitendea taifa letu na kulipiga is kishujaa nao wapewe mitaa.kwao Kenya ni mtu wa kawaida yaani hiyo inaonyesha jinsi viongozi wetu waluvyo nyuma kielimu na kifikara.wapo watu wamefanya makubwa sana katika mataifa Yao lakini hakuna kumbukumbu yoyote.wanyama hiyo invidually asset sio kwa taifa letu wala Kenya.kwanini kwa mfano huo mtaa usiitwe Thomas Sankara kiongozi kijana aliyependwa Africa yote na mwanamapinduzi wa kweli.viongozi acheni ushamba fikirieni kabla ya kuitesa.jacob umeonyesha ufinyu wa akili yako.

    ReplyDelete
  2. Mpuuzi sana huyo meya.sielewi alitumia kigezo gani katika suala hilo,halafu viongozi wengine mmenyamaza kwa utumbo aliofanya huyu meya mbumbumbu wa maisha.wanyama ni nani kwetu Sunday manara ndio mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kucheza nje,Omar mahadhi ndio mchezaji aliyechaguliwa team ya Africa,na wengine wengine.nchi nyingi zona wachezaji ulaya lakini sijawahi kusikia mtu kapewa mtaa.kwa faida au sofa gani wanyama amelifanyia au kulitetea taifa letu,hasheem thabit ndio mtanzania wa kwanza kucheza NBA mbona hajapewa mtaa.maana unategemea Kenya watampa mtaa Mbwana samata? Wacha hizo ondoa mara moja ILO jina lako .fanya mambo ya maana sio upuuzi wako wa sifa zisizokuwa kuwa na kichwa wala miguu.tunachekwa kwa uzuzu wetu na ubabaikaji wetu kwa mambo yasiyoonyesha kuwa na Tina.nadhani Jacob vyeti vyake vya school inabidi pia achunguzwe,

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV