June 25, 2017


James Kotei aliyekuwa mchezaji bora wa kimataifa wa Simba msimu uliopita, amechana na ukapera.

Kotei raia wa Ghana amefunga ndoa na mpenzi wake wake wa siku nyingi.

Hafla ya ndoa imehudhuriwa na rafiki yake, James Agyei aliyekuwa kipa wa Simba kwa nusu msimu uliopita, huyu pia ni mratibu wa Yanga.




Pia imehudhuliwa na Mratibu wa Simba, Abbas Ally maarufu kama Gazza ambaye pia aliwahi kuwa meneja wa Simba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic