Bao la Madrid limefungwa na Christiano Ronaldo katika dakika ya 20 na dakika saba baadaye Mario Mandzukic akasawazisha wa upande wa Juventus.
Timu zimeshambuliana kwa zamu na kuufanya mpira kuwa na presha kubwa huku mwamuzi akilazimika kutembeza kadi za njano kama njugu ili kupunguza presha. |
0 COMMENTS:
Post a Comment