June 18, 2017


Mshambuliaji wa Real Madrid,  Alvaro Morata amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi.

Morata raia wa Hispania, ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake mini Venice nchini Ufaransa katika kipindi kukiwa na gumzo kuwa huenda akajiunga na Manchester United.

Mshambuliaji huyo mwenye miaka 24, ameamua kutumia kipindi cha mapumziko kumaliza masuala aye ya kifamilia.

Amekuwa hana furaha sana kwa kuwa chapati nafasi ya kutosha katika kikosi cha Zinedine Zidane.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic