OKWI, SIMBA MAMBO SAAAFI, HANS POPPE ATUA UGANDA Emmabuel Okwi amemalizana na Simba mjini Kampala, Uganda, leo hii. Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amekutana na Okwi na kumalizana mjini Kampala.
0 COMMENTS:
Post a Comment