June 16, 2017


Ni kama sinema vile, Simba wamesema kiungo Pius Buswita wa Mbao FC ni mali yao kwa kuwa amesaini miaka miwili.

Yanga nao wamesema kuwa kiungo huyo ni mali yao kwa kuwa amesaini miaka miwili na kuonyesha wana uhakika. Wametoa picha yake wakati akisaini.

Wakati anasaini, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo, anaonekana akiwa pembeni.


Hali hiyo tayari inazua mkanganyiko na kinachobaki ni zamu ya Simba kuthibitisha kuhusiana na mchezaji huyo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic