June 17, 2017
Kiungo wa mbao FC, Pius Buswita wa Mbao FC, inaelezwa amesaini pande zote mbili za Yanga  na Simba.

Kwamba alianza kusaini Simba, baadaye viongozi wa Yanga wakamshawishi na kusaini kwao wakimuambia wanajua namna ya “kumalizana na Simba”.

1 COMMENTS:

  1. Hugo akishaanza kuonyesha mapenzi na yanga aachwe aende tuu.. atatuletea mambo ya Kingasa simba

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV