July 31, 2017
Kesi ya utakatishaji fedha inayowakabiri Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu Geofrey Nyange ‘Kaburu’ itasikilizwa tena Agost 7, mwaka huu.


Aveva na Kaburu walifikishwa leo katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Mara ya mwisho, Kaburu alishindwa kufika mahakamani kutokana na kuwa mgonjwa, lakini leo alikuwepo mahakani pamoja na Aveva.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV