BAADA YA KUMTWANGA MTU UJERUMANI NA KUCHUKUA UBINGWA WA DUNIA, HIVI NDIVYO IBRAHIM CLASSIC "MAWE" ALIVYOTUA BONGO Bondia Ibrahim Class 'King Class Mawe' ametua leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akitokea Ujerumani ambako ametwaa Ubingwa na kuchukua mkanda wa Ubingwa wa Dunia GBC kwa pointi dhidi ya Jose Forero raia wa Panama.
0 COMMENTS:
Post a Comment