July 31, 2017


Man United imekamilisha ilichokitaka baada ya kumnasa Nemanja Matic kutoka Chelsea.

Man United imemsajili Matic kwa kitita cha pauni million 40.


Kiungo huyo rAia wa Serbia amekabidhiwa jezi namba 31 baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu na atakuwa akilipwa mshahara wa pauni 140,000 kwa wiki.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV