July 31, 2017


Lipuli ya Iringa imemsajili kiungo wa zamani wa Yanga, Omega Seme.

Seme aliwahi kuichezea Yanga kabla ya kutua Ndanda FC ya Mtwara.


Leo amekamilisha usajili wake wa mwaka mmoja kuichezea Lipuli ya Iringa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic