August 1, 2017Pamoja na taarifa kwamba anakwenda Real Madrid kwa day la pauni million 160, Kylian Mbappe ameonyesha kuwa bize na maisha yake ya kawaida.

Mbappe ameonekana akiwa ni mwenye furaha kwenye mazoezi ya kikosi cha Monaco ambacho kimeanza maandalizi ya msimu mpya.

Kianchoonekana kuwavutia wengi kwa Mbappe, amekuwa si mwenye presha kubwa na uhamisho wake kwenda Madrid kama utafanikiwa au la, maana yake amejiandaa pia kubaki Monaco na kuendelea na kazi yake kama kawaida.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV