July 19, 2017


Kocha Arsene Wenger amezua gumzo baada ya kuvaa raga ambazo si kawaida yake.

Raba hiyo imegeuka imekuwa gumzo baada ya kuonekana ni kiatu maalum chenye nembo ya Arsenal.

Wenger alikuwa katika bench wakati Arsenal ilipoifunga Bayern Munich kwa mabao 3-2 kupitia mikwaju ya penalti katika michuano ya ICC.




Katika benchi Wenger alikuwa na wasaidizi wake kocha wa makipa Jens Lehmann pia  Vic Akers.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic