Alvaro Morata amebakiza muda mchache kabla ya kutua London na kujiunga na Chelsea.
Madrid na Chelsea zimekubaliana kuhusiana na uhamisho wa mshambulizi huyo ambaye awali ilielezwa angetua Man United.
Imeelezwa tayari Morata ameondoka taika kambi ya Madrid huko Los Angeles nchini Marekani na kurejea nbarani Ulaya kukamilisha suala la kujiunga na Chelsea.
Chelsea iko tayari kutoa hadi euro million 80 ili kumnasa Morata ambaye ni kati ya washambuliaji hatari wanaochipukia.








0 COMMENTS:
Post a Comment