August 2, 2017


Neymar atabaki hostoria katika kikosi cha Barcelona, hii ni baada ya uongozi wa klabu hiyo kuanza kufuta baadhi ya picha zilizo kwenye mabango yake.

Barcelona imeanza kufanya hivyo katika mabango mbalimbali yaliyo na wachezaji wake ambayo yanamjumuisha Neymar.

Hii ni kuonyesha kwamba kweli anakwenda PSG ya Ufaransa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV