August 9, 2017

 Wakazi wa jiji la Mwanza wameonyesha mapenzi makubwa kwa kujitokeza kwa wingi kumzika mchezaji wa zamani wa Pamba, Ibrahim Magongo.

Magongo mmoja wa wachezaji bora waliowahi kutokea nchini, alizikwa na idadi kubwa ya wadau wa soka, michezo, ndugu na jamaa jambo ambalo ni sawa na kuonyesha upendo wa dhati.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV