Shabiki mmoja wa timu ya Hoffenheim ametoa kali baada ya kuonekana yuko bize akipiga mswaki uwanjani.
Shabiki huyo alifanya hivyo wakati timu yake ikiivaa Liverpool katika mechi ya play off kuwania kucheza Ligi ya mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Anfield mini Liverpool.
Wakati wenzake walikuwa bize kushangilia, yeye alionekana yuko bize na mswaki wake akisafisha meno.
0 COMMENTS:
Post a Comment