August 23, 2017


Neymar amerejea Barcelona na kujumuika na wachezaji kadhaa akiwemo Lionel Messi na Gerard Pique.

Neymar alikuwa jijini Barcelona nyumbani kwake kusharekea siku ya kuzaliwa ya mwanaye Davi Lucca.


Wakati Neymar akiwa na Pique, Messi na Raktic kutoka FC Barcelona, saa moja baadaye klabu hiyo imetangaza kumshitaki kutaka ilipwe asilimia kumi tena ya pauni milini 198 baada ya Neymar kuhamia PSG ya Ufaransa.

Messi alitupia picha hiyo wakiwa pamoja wenye furaha kusherekea siku ya kuzaliwa ya Davi Lucca na kusema “Hes is back”, yaani amerejea.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic