September 15, 2017


Pamoja na kuwa majeruhi wa nyonga, kiungo Thabani Kamusoko leo amefanya mazoezi na kikosi cha Yanga.

Kumekuwa na hofu ya kumkosa Kamusoko, lakini ameungana na wenzake kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea na kufanya mazoezi.

Hata hivyo, Kamusoko raia wa Zimbabwe alionekana kuwa makini sana akifanya kila jambo ka tahadhari.

Yanga iko mjini Songea kwa ajili ya mechi yake ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Majimaji kwenye Uwanja wa Majimaji, kesho.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic