September 15, 2017


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Gemini Mushy ametangaza kutakuwa na ulinzi mkali katika mechi ya Ligi Kuu Bara wakati Majimaji watakapoivaa Yanga kesho.

Mushy amesema ulinzi utakuwa mkali sana na wale wanaotaka kufanya uhalifu basi wafikirie upya.

“Hakutakuwa na nafasi ya uhalifu, wanaotaka kufanya hivyo wajiandae kubadili mawazo.

“Ulinzi ulikuwa mkali sana na hakutakuwa na mzaha. Ruvuma ni sehemu ya amani, wote mnajua,” alisema.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic