September 14, 2017


Kocha Ronald Koeman wa Everton amesema baada ya kipigo cha mabao 3-0 wakiwa nyumbani dhidi ya Tottenham katika Ligi Kuu England, sasa wanastahili ushindi dhidi ya Atalanta.

Everton itakuwa ugenini kuibaa Atalanta ya Italia katika mechi ya Europa League kwenye Uwanja wa Mapei na Koeman amesema ni nafasi nzuri kwao kurekebisha makosa.

Kikosi cha Everton kinadhaminiwa na SportPesa na kilifanya ziara nchini wakati wa maandalizi ya msimu mpya.



VIKOSI VINAVYOTARAJIWA KUWA
Atalanta (3-4-3): Berisha; Toloi, Palomino, Masiello; Hateboer, Freuler, Cristante, Castagne; Kurtic, Petagna, Gomez
Everton (4-2-3-1): Pickford; Holgate, Keane, Williams, Baines; Schneiderlin, Gueye; Klaassen, Rooney, Sigurdsson; Calvert-Lewin 









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic