September 14, 2017


Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Wachezaji wanaendelea kujiandaa na mechi yao dhidi ya Mwadui FC katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Jumapili.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic