September 27, 2017




Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), wamelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutenda haki.

Makamu wa Rais, Ali Mohamed huu ni wakati wa watoto wa Zanzibar kunufaika na timu ya vijana.

“Tumeondolewa kwenye uanachama wa Caf, sasa timu ya taifa ni yetu sote. Tuchaguliwe.

“Tuanzie wachezaji wa timu kubwa na kocha Salum Mayanga achague wachezaji wachezaji wetu pia.

“Lakini timu ya vijana chini ya miaka 17, utaona vijana wa Zanzibar hawapo na sisi hatuna taarifa. Hii si sawa hata kidogo,” alisema.


“Tanzania maana yake, Tanganyika na Zanzibar. Sasa vipi hatushirikishwi.”

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic