October 30, 2017


Klabu ya Azam FC imemuajiri kocha wa zamani wa Mbeya City, Abdul Mingange kuwa kocha wa timu zake za vijana.

Mingange ambaye ni mwanajeshi mstaafu, amesema ameipokea nafasi hiyo kama bahati kwa kuwa anaamini makocha wengi wangependa kufanya kazi na klabu ya Azam FC.

“Kila kocha aliye makini angependa kufanya kazi na klabu ya Azam. Lengo langu ni kufanya vizuri na hapa ni sehemu ambayo nitafanya kazi yangu kwa ufanisi,” alisema.


Mingange pia aliwahi kuinoa Ndanda FC na kuikoa isiporomoke daraja baada ya kukabidhiwa katika hatua za mwisho

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic