October 30, 2017




Promosheni ya SHINDA NA SPORTPESA inaendelea kutikisa vilivyo ambapo washindi kutoka kila kona ya Tanzania wameendelea kujinyakulia pikipiki zao za miguu mitatu aina ya TVS KING ambapo mpaka sasa washindi watano wameshatangazwa.

Omary Abdallah Nina, mkazi mwa Mwananyamala kwa Msisili anakuwa ni mshindi wa bajaji ya nne kwenye orodha ya bajaji 100 zinazotolewa huku akiwa ndio mshindi wa kwanza kutoka Jijini Dar es Salaam baada ya washindi wengine watatu kutoka mikoa ya Arusha, Tanga na Kilimanjaro.

Omary, 26, ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa nne katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania akichukua shahada ya Sayansi ya mazingira anaelezea hali ilivyokuwa baada ya kupokea taarifa ya ushindi kutoka SportPesa.

“Nilikuwa siamini amini mpaka ilipofika usiku nilipoona shoo ya SportPesa inayorushwa Clouds TV saa 1:20 usiku ndio nikaamini na kwakweli nilifurahi sana nikawaambia washkaji zangu ambao huwa tunabashiri nao.

Ni rahisi
Omary alienda mbali zaidi na kuelezea jinsi ambavyo alianza kucheza na SportPesa na nini kilichomvutia zaidi.
“Kwa siku huwa nabashiri zaidi ya mara saba na napenda sana kutumia njia ya mtandao kwa sababu ni rahisi kwani mimi binafsi sipendi kwenda kwenye vibanda kupanga foleni.



“Nilivyoona app ya SportPesa nikaipakua nikaanza na mimi kujaribu bahati yangu nikawa nashinda mara kwa mara na mpaka leo nina furaha sana kukabidhiwa TVS KING yangu,” alisema.

Omary mwenyeji wa Kondoa mjini Dodoma anamalizia kwa kuelezea matumizi ya TVS KING yake mpya amejishindia huku akitoa wito kwa vijana wenzake kushiriki kwa wingi ili waweze kushinda kama yeye.

“TVS KING hii itanisaidia sana kwenye masuala ya ada kwasababu unajua sisi wengine tunasoma wenyewe kibishi bishi tunahangaika wenyewe.

“Mimi nawashauri vijana wenzangu wabashiri na zaidi wachangamkie promosheni hii ya kushinda TVS KING kwani ni nzuri na inasaidia,” alisisitiza Omary.

Jinsi ya kushiriki Promosheni
Ili kushiriki kwenye promosheni hii ya SHINDA TVS KING NA SPORTPESA, kwanza kabisa unatakiwa kujisajili kwa kutuma neno GAME kwenda 15888 (kama bado hujajisajili), weka pesa kwa namba ya biashara 150888 kisha piga *150*87# au tembelea www.sportpesa.co.tz kuweka utabiri wako mara nyingi.


Ukishaweka utabiri wako, utatumiwa ujumbe unaokutaka kutuma neno SHINDA kwenda 15888 ili kuingia kwenye droo. Kadri unavyozidi kucheza mara nyingi ndivyo unajiongezea nafasi ya kushinda kila siku.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic