November 10, 2017


Kikosi cha Abajalo FC cha Sinza, kimeanza vizuri michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kuitwanga Cosmopolitani kwa mabao 2-0.

Abajalo imeshinda mechi hiyo ya raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho ambalo mabingwa watetezi ni Simba.

Pamoja na Abajalo kushinda katika raundi ya kwanza, Silabu FC iliyokuwa ugenini nayo imeibabua Kisarawe FC kwa mabao 3-1.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic