November 10, 2017


Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kukishuhudia kikosi cha Simba kikijifua kwenye Uwanja wa Mandela mjini Sumbawanga.

Idadi kubwa ya mashabiki hao walikuwa wakifuatilia kwa ukaribu wakati Simba chini ya Kocha Joseph Omog.


Simba imeweka kambi mjini humo ikisubiri kucheza mechi yake dhidi ya Prisons.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic