November 6, 2017


Beki Ashley Cole ameamua kuuza jumba lake la kifahari kwa bei ya kutupa kuanzia pauni milioni 7.5.


Pamoja na uamuzi huo, imeelezwa, Cole ambaye sasa anakipiga LA Galaxy atalazimika kugawana na mkewe wa zamani Chery Tweedy.

Jumba hilo lente mabwawa ya kuogelea, jumba la sinema, vyumba zaidi ya nane, uwanja mdogo wa mpira na bustani kubwa ndilo waliishi kwa takribani miaka minne ya ndoa.

Cole alianza kung'ara akiwa na Arsenal kabla ya kwenda Chelsea ambako alipata mafanikio makubwa.


Rooms: 
4 reception rooms, 8 bedrooms, 7 bathrooms, 2 bedroom annexe.  
Features: 

Sauna, swimming pool, football pitch, two golf holes, quad bike track, helipad, gym, snooker room, jacuzzi, tennis court.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic