November 4, 2017



Klabu ya Marseille imeamua kuvunja mkataba na beki wake, Patrick Evra.

Evra raia wa Ufaransa ambaye aliwahi kuichezea Manchester United, alitolewa nje hata kabla ya mechi ya Kombe la Europa League baada ya kumrukia na kumtwanga teke shabiki.

Evra alimpiga teke shabiki huyo wakati wakipasha misuri kwa madai kwamba alimtukana.

Alitolewa nje na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kupigwa kadi nyekundu hata kabla ya mechi kuanza.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic