November 7, 2017


Hatimaye West Ham imemtangaza Kocha wa zamani wa Manchester United, David Moyes kuwa bosi wa benchi la ufundi.

Moyes ,54, ambaye alidumu muda mrefu na Everton FC sasa anachukua nafasi ya Slaven Bilic ambaye alitimuliwa siku chache zilizopita.

West Ham imekuwa haina mwendo mzuri katika Ligi Kuu England hadi kuchukua uamuzi wa kumtupia virago Bilic na Moyes amesema anaamini mambo yatabadilika na kuwa mazuri.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic