November 4, 2017



Jezi namba 11 ya mshambuliaji Neymar imeondolewa katika mghawa wa Fubolin ambao umeelezwa unamilikiwa na Lionel Messi.

Messi na Neymar ni marafiki na jezi yake akiwa Barcelona na mbili za Messi na Luis Suarez zilikuwa zimewekwa katika mgahawa huo.




Hata hivyo, kuanzia juzi jezi hiyo iliondolewa na kubaki mbili za Messi na Suarez.


Haijaelezwa kwanini imeondolewa, huenda ni kwa kuwa amehama au vinginevyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic