November 10, 2017




Kikosi cha Taifa Stars kimetua salama nchini Benin tayari kuwavaa wenyeji.

Stars iliyopitia Kigali na baadaye Libreville imetua salama na kufanya mazoezi kuanzia jana na leo imefanya mazoezi ya mwisho.


Mechi yake dhidi ya wenyeji ambayo ni ya kirafiki itachezwa kesho.

Hadi baada ya mazoezi ya leo, wachezaji wote walikuwa fiti na salama katika mji wa Cotonou kujiandaa na mechi ya kesho.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic