November 13, 2017



Mshambuliaji Obrey Chirwa na kiungo Papy Tshishimbi wamerejea mazoezini Yanga na kuungana na wenzao.

Chirwa na Tshishimbi walikuwa majeruhi, lakini leo wamerejea na kufanya mazoezi chini ya mwalimu wa gym.

Yanga imejifua gym ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na mechi yake dhidi ya Mbeya City na kesho itarejea katika mazoezi ya uwanjani.

Mazoezi hayo chini ya mwalimu wa gym ilikuwa ni sehemu ya kuamsha misuli na kuwarejesha wachezaji hao katika ari ya mazoezi baada ya kupumzika kwa siku mbili.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic